![]() |
Watangazaji wa live uwanjani, Saigon na mwenzake wakipozi kwa picha wakati wa fainali ya mashindano ya Dance Mia Mia yaliyoandaliwa na kituo cha radio na televisheni ya EATV/ Radio kwenye Viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam jana. PICHA: AMUR HASSAN |
![]() |
Vimwana wa kundi pekee la akinadada la Tanzania Queens wakishambulia wakati fainali ya mashindano ya Dance Mia Mia yaliyoandaliwa na kituo cha radio na televisheni ya EATV/ Radio kwenye Viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam jana. PICHA: AMUR HASSAN |
![]() |
Tanzania Queens wakati wa fainali ya mashindano ya Dance Mia Mia yaliyoandaliwa na kituo cha radio na televisheni ya EATV/ Radio kwenye Viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam jana. |
![]() |
Kazi inaendelea kwa TZ Queens. PICHA: AMUR HASSAN |
![]() |
TZ Queens mzigoni. PICHA: AMUR HASSAN |
![]() |
TZ Queens. PICHA: AMUR HASSAN |
![]() |
TZ Queens. PICHA: AMUR HASSAN |
![]() |
TZ Queens. PICHA: AMUR HASSAN |
![]() |
Twende sasa... Tanzania Queens wakiwa mzigoni. PICHA: AMUR HASSAN |
![]() |
Hapo je? .... TZ Queens wakionyesha mamboooz. PICHA: AMUR HASSAN |
![]() |
Mtangazaji wa EATV, Saigon (kulia) akiwauliza jambo vimwana wa TZ Queens. PICHA: AMUR HASSAN |
![]() |
Dogo Janjaroo.... Rapa Dogo Janja anaye aliibuka katikati ya dimba kwa ajili hya kusalimia mashabiki wakati wa Shindano la Dance Mia Mia. PICHA: AMUR HASSAN |
![]() |
Mtangazaji Dullah wa EATV & Radio akialika wadau waje kugombania zawadi ya Sh. laki moja kwa kurusha mpira wa kikapu kwenye goli la mchezo huo kutokea katikati ya uwanja. Unadhani kuna mtu aliyeondoka na hiyo pesa? Watu wanarusha mpira kama jiwe halafu shabaha sifuri... PICHA: AMUR HASSAN |
![]() |
Eh. Dullah mbona tena kama alama ya 'freemasons'? Au mi sioni vizuri, ngoja nifikiche macho. PICHA: AMUR HASSAN |
![]() |
Mzigo wenyewe wa Sh. laki moja huu hapa, Dullah akimkabidhi mtangazaji mwingine wa EATV, T-Bwoy (kushoto) ili ugombaniwe na watu waiohudhuria shindano la Dance Mia Mia kwenye viwanja vya Leaders Club Kinondoni jijini Dar es Salaam. PICHA: AMUR HASSAN |
![]() |
Madansa wa kikundi cha T-Africa wakishambulia jukwaa kuwania zawadi ya kwanza ambayo ilikuwa ni Sh. milioni 5. PICHA: AMUR HASSAN |
![]() |
TZ Queens wakisikiliza maoni ya majaji baada ya kumaliza shoo yao. PICHA: AMUR HASSAN |
![]() |
Shetta do Shetta, Shetta... OK. OK..... Rapa Shetta naye alialikwa na Dullah kwa ajili ya kuwapa salamu mashabiki. Mchizi alikuwa amefika kushuhudia tu shindano la Dance Mia Mia. Bila ya shaka alikuwa akisaka madansa wa kuwachukua kwenye ziara zake za 'Nidanganye Danganye'. PICHA: AMUR HASSAN |
![]() |
Dogo Janjaro kutoka Kilimanjaro.... Dogo Janja naye aliibuka stejini kwa ajili ya kusalimia tu jamaa.Alichana kwa mistari miwili mitatu ya ngoma yake mpya halafu alishangiliwa kuliko kawaida... PICHA: AMUR HASSAN |
![]() |
Linex alikuwepo rasmi kutunbuiza, mashabiki walipagawa na 'Mama Halima'. PICHA: AMUR HASSAN |
![]() |
Majaji kiongozi wa shoo wa bendi ya Extra Bongo, Super Nyamwela (kushoto), mtangazaji Lotus wa EATV (katikati) na muimbaji wa Bongofleva, Dully Sykes wakiwa mzigoni wakati wa shindamno la Dance 100%. PICHA: AMUR HASSAN |
![]() |
Saigon (kulia) akimhoji mmoja wa madansa wa kikundi cha TZ Queens. PICHA: AMUR HASSAN |
![]() |
Tumependeza bwana si unachekii pozii... wadau wa EATV. PICHA: AMUR HASSAN |
![]() |
Mi kikapu najua bhana... Mtangazaji wa EATV, T-Bwoy akiwa katikati ya uwanja. PICHA: AMUR HASSAN |
![]() |
Kama ningeweza ningerudisha siku nyuma, hata magoti ningepiga ili nipate yako pichaaa.... hii ni meipata au sivyo? Linex akitumbuiza kwa wimbo wake wa 'Msamaha'. PICHA: AMUR HASSAN |
![]() |
Hata kama ni kukaa juu ya miti tutakaa ilimradi tuone raha ya Dance 100%. PICHA: AMUR HASSAN |
![]() |
Lydia Igarabuza (kulia) akiwa na Dullah hapa wakiwakilisha EATV. PICHA: AMUR HASSAN |
![]() |
Ebwana cheki hili pozi. Hapa ni watangazaji wa EATV, Faiza (kushoto), mzee wa "Mafesibuku" T-Bway (kulia) na Irene pale kati. PICHA: AMUR HASSAN |
![]() |
Watangazaji wa live stejini wakiweka mambo sawa. PICHA: AMUR HASSAN |
Dogo Janja |
No comments:
Post a Comment