Friday, August 3, 2012

ALI CHOKI NA EXTRA BONGO NDANI YA FINLAND

Mpiga besi wa bendi ya Extra Bongo, Hoseah Mgohachi akifanya vitu vyake wakati waonyesho la First Africa mjini Tempere, Finland.
Kiongozi wa madansa wa bendi ya Extra Bongo, Super Nyamwela akifanya mambo yake wakati wa onyesho la First Africa mjini Tempere, Finland.
Ally Choki (kushoto) na waimbaji wake Boby Kissa (katikati) na Athans Montanabe wakifanya vitu vyao kwenye onyesho la First Africa lililofanyika mjini Tempere, Finland.
Vimwana Extra Bongo wakishambulia jukwaa onyesho la First Africa lililofanyika mjini Tempere, Finland


No comments:

Post a Comment