Sunday, July 8, 2012

SIMBA ANGURUMA TENA MTAA WA JANGWANI

Mi najua wewe... Wema Sepetu akila zoezi la kuzichapa na Jacqueline Wolper chini ya kocha wake Rashid Matumla (kushoto).
one-two, one-two... upper cut. Wema akipasha na Matumla
Jacqueline Wolper akionyesha namna ya kumshughulikia Wema


Mkurugenzi wa Kampuni ya Global Publishers & General Enterprises Ltd, Eric James Shigongo akitoa neno katika Tamasha la Usiku wa Matumaini ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akitoa neo la matumaini kwa taifa letu wakati wa Tamasha la Usiku wa Matumaini

Zile 5-0 tukijumlisha na hizi.....? Wabunge mashabiki wa Simba wakishangilia ushindi baada ya kuwabwaga wabunge mashabiki wa Yanga kwa penalti 3-2.
Wachezaji wa Yanga wakisubiri matuta.

Wabunge wa timu ya mashabiki wa Yanga.
Kama Okwi... Zitto Kabwe akikokota 'ngoma'.

Mtupe nafasi nasi tuingie... Benchi la wabunge wa Yanga.
Kikosi cha Simba.
Kikosi cha Yanga


Wachezaji wa Yanga na Simba (Wabunge) wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya mechi kuanza.
Pisha wewe, 'muziki' mnene huu. Mtanange baina ya wabunge  ukiendelea

PICHA ZOTE: Globalpublishers.com

No comments:

Post a Comment