Redd's Miss Tanga 2012, Theresia Kimaro, akiwa katika picha ya pamoja
na mshindi wa pili, Beatrice Joseph na wa tatu Johari Harom mara baada
ya kumalizika kwa shindano lao lililofanyika kwenye Uwanja wa
Mkwakwani jijini Tanga leo. Picha: Intellectuals Communications Ltd
|
No comments:
Post a Comment