Thursday, July 5, 2012

REDDS MISS HIGHER LEARNING HII HAPA SASA

Warembo wanaowania taji la Redds Miss Higher Learning wakiwa kwenye fainali itakayofanyika kesho kwenye ukumbi wa New Maisha Club Jijini Dar es Salaam ambapo mshindi ataondoka na Sh. milioni 2. Picha: Intellectuals Communications Ltd

No comments:

Post a Comment