Monday, July 23, 2012

JUSTIN BIEBER AZOA TUZO 4 CHAGUO LA VIJANA

Muimbaji Justin Bieber akishukuru baada ya kupokea tuzo ya nne za Tamasha la Teen Choice Awards kwenye ukumbi wa Gibson Amphitheatre mjini California, Marekani jana Julai 22, 2012. Muimbaji huyo ameshinda tuzo nne zikiwemo za mwanamuziki bora chaguo la vijana na wimbo bora wa msanii wa kiume kupitia kibao chake cha "Boyfriend." Picha: REUTERS

Muimbaji Justin Bieber (katikati) akitumbuiza wakati wa Tamasha la Teen Choice Awards kwenye ukumbi wa Gibson Amphitheatre mjini California, Marekani jana Julai 22, 2012.

Muimbaji Justin Bieber akitumbuiza wakati wa Tamasha la Teen Choice Awards kwenye ukumbi wa Gibson Amphitheatre mjini California, Marekani jana Julai 22, 2012.

Muimbaji Justin Bieber akiwasili katika Tamasha la Teen Choice Awards kwenye ukumbi wa Gibson Amphitheatre mjini California, Marekani jana Julai 22, 2012.
Ah! Mambo ya Bieber haya.... rafiki wa kike wa Justin Bieber, Selena Gomez, ambaye ni muigizaji na muimbaji, akishukuru kwa tuzo ya Teen Choice wakati wa amasha la Teen Choice Awards kwenye ukumbi wa Gibson Amphitheatre mjini California, Marekani jana Julai 22, 2012. 

Rapa Flo Rida (wa pili kulia) akitumbuiza pamoja na Sia wakati wa Tamasha la Teen Choice Awards kwenye ukumbi wa Gibson Amphitheatre mjini California, Marekani jana Julai 22, 2012. Picha: REUTERS

Rapa Flo Rida (katikati) akitumbuiza wakati wa Tamasha la Teen Choice Awards kwenye ukumbi wa Gibson Amphitheatre mjini California, Marekani jana Julai 22, 2012. Picha: REUTERS

Rapa Flo Rida akitumbuiza wakati wa Tamasha la Teen Choice Awards kwenye ukumbi wa Gibson Amphitheatre mjini California, Marekani jana Julai 22, 2012. Picha: REUTERS

Muigizaji wa Marekani, Zoe Saldana akipozi kwa picha wakati wa tuzo za Teen Choice Awards

Tylor Swift

Muimbaji Gwen Stefani wa kundi la No Doubt akitumbuiza wakati wa Tamasha la Teen Choice Awards kwenye ukumbi wa Gibson Amphitheatre mjini California, Marekani jana Julai 22, 2012.

No comments:

Post a Comment