|
|
|
Bolt anatarajiwa kutetea ubingwa wake wa mita 100 na mita 200 alioupata na kutwaa medali za dhahabu Beijing katika mashindano ya Olimpiki ya London 2012.
Anatarajiwa kukutana na upinzani mkali kutoka kwa Mjamaica mwenzake anayefanya naye mazoezi, Yohan Blake, ambaye tayari keshamwangusha mara mbili mwaka huu wakati wakiwania ubingwa wa Jamaica katika mbio za mita 100 na mita 200.
No comments:
Post a Comment