Thursday, July 19, 2012

MAJEMBE MAPYA HAZARD, MARIN YAANZA KUTUPIA CHELSEA

Kiungo wa Chelsea, Marko Marin (kulia) akipongezwa na mchezaji mwenzake Branislav Ivanovic baada ya kufunga goli dhidi ya Seattle Sounders wakati wa mechi yao ya kirafiki mjini Seattle, Washington jana Julai 18, 2012. Chelsea ilishinda 4-2. Picha: REUTERS

Jembe jipya la kChelsea, Eden Hazard (mbele) likiwania mpira dhidi ya mchezaji wa Seattle Sounders, Leo Gonzalez, wakati wa mechi yao ya kirafiki mjini Seattle, Washington jana Julai 18, 2012. Chelsea ilishinda 4-2. Picha: REUTERS

No comments:

Post a Comment