Thursday, July 19, 2012

CHEKI UTAMBULISHO WA ZLATAN IBRAHIMOVIC PSG

Zlatan Ibrahimovic wa Sweden, nyota mpya aliyesajiliwa na klabu ya Ufaransa ya Paris St Germain, akishikilia jezi yake mpya wakati akipozi kwenye Mnara wa Eiffel mjini Paris jana Julai 18, 2012. Klabu inayomwaga pesa nyingi katika kusajili ya PSG imedhamiria kutawala Ligi Kuu ya Ufaransa msimu huu na imeonyesha nia yake kwa kumsajili nahodha wa timu ya taifa ya Sweden, Ibrahimovic (30) kutoka AC Milan kwa mkataba wa miaka mitatu jana. PSG imemchukua pia Thiago Silva kutoka AC Milan. Picha: REUTERS

Zlatan Ibrahimovic wa Sweden (katikati), straika mpya aliyesajiliwa na klabu ya Ufaransa ya Paris St Germain, akishikilia jezi yake akiwa katikati ya Nasser Al-Khelaifi (kushoto), ambaye ni rais wa Paris St Germain na mmiliki wa kituo cha televisheni cha Qatari cha Al Jazeera Sport, na mkurugenzi wa michezo wa PSG, Leonardo, baada ya mkutano na wanahabari mjini Paris jana Julai 18, 2012. Picha: REUTERS

No comments:

Post a Comment