Monday, June 18, 2012

TAMASHA LA WAJANJA VODACOM LILIVYOFANA

Nyota wa muziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz, akibebwa juu na madansa wake wakati  wa uzinduzi wa Tamasha la WAJANJA lililofanyika katika ufukwe wa bahari ya Hindi wa Coco Beach jana. Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania litafanyika katika mikoa minne nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo Shilingi na kutuma ujumbe mfupi kwa Sh. 25 na kuperuzi facebook na twitter bure.

'Nimpende Naaaani'..... Diamond Platnumz akiimba kwa hisia kali wakati wa uzinduzi wa Tamasha la WAJANJA lililofanyika katika ufukwe wa bahari ya Hindi wa Coco Beach jana. Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania litafanyika katika mikoa minne nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo Shilingi na kutuma ujumbe mfupi kwa Sh. 25 na kuperuzi facebook na twitter bure.

Sheta (kulia) naye aliomba "adanganywe danganywe" wakati wa uzinduzi wa Tamasha la WAJANJA lililofanyika katika ufukwe wa bahari ya Hindi wa Coco Beach jana.

Ommy Dimpoz "kwa poz" akiimba "Tukutane tena baadaye" wakati  wa uzinduzi wa Tamasha la WAJANJA lililofanyika katika ufukwe wa bahari ya Hindi wa Coco Beach jana. Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania litafanyika katika mikoa minne nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo Shilingi na kutuma ujumbe mfupi kwa Sh. 25 na kuperuzi facebook na twitter bure.
Matina G. Nkurlu
Manager: Public Relations
Location: Mlimani City Building 1. 1st Floor
Group: Executive, Vodacom Tanzania Limited
Office: +255769700755484800 Ext:  6932; Extension: 0755484800 Ext:  6932
Mobile: +255754710099

No comments:

Post a Comment