Saturday, June 16, 2012

MATILDA NDIYE MISS DAR CITY CENTRE 2012


Mshindi wa Redds Miss Dar City Centre, Matilda Martine (katikati) akiwa na mshindi wa pili Magdalena Munisi (kulia) na mshindi wa tatu mara baada ya kutangazwa washindi wa kitongoji cha Redds Miss Dar City Centre kwenye ukumbi wa Golden Tulip jijini Dar Es Salaam usiku wa kuamkia leo Juni 16, 2012. Picha: Intellectuals Communications Ltd

No comments:

Post a Comment