Tuesday, September 10, 2013

WAREMBO WAENDELEA NA ZIARA

Mtaalam wa Upishi wa Pombe kutoka Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Tawi la Arusha, Jacob Mgowe akiwatembeza baadhi ya washjiriki wa shindano la Redd’s Miss Tanzania 2013 wakati warembo hao walipotembelea kiwanda hicho kujionea uzalishaji wa pombe zake. (Picha na Intellectuals Communications Ltd).
 
Washiriki wa shindano la Redd’s Miss Tanzania 2013 wakicheza muziki mara baada ya kumaliza ziara ya kutembelea kiwanda cha Bia Tanzania (TBL) mkoani Arusha jana. (Picha na Intellectuals communications Ltd).

Afisa Usalama mahali pa kazi wa Kampuni ya Bia Tanzania Tawi la TBL Arusha, Heavy Kasena akiwapa maelezo ya shughuli mbalimbali zinazofanywa na Kiwanda hicho cha TBL mjini Arusha warembo wa wanaowania taji la Redds Miss Tanzania 2013 walipotembelea kiwanda hicho jana.(Picha na Intellectuals communications Ltd).

No comments:

Post a Comment