Thursday, April 11, 2013

ANGALIA VIDEO YA MESSI AKIHAHA KUMFUNGA KIPA ROBOTILIONEL Messi alipata uzoefu wa kipekee wakati alipowekewa kipa roboti na kutakiwa kumfunga kwa penalti.

Lakini haikuwa rahisi kama ilivyodhaniwa awali na alihitaji majaribio matatu ili kumfunga roboti huyo.

No comments:

Post a Comment