Tuesday, March 12, 2013

BARAFU INAVYOWAENDESHA UFARANSA LEO

Mwanamke asiye na makazi, ambaye miguu yake ameifunika kwa mifuko ya plastiki, akitembea juu ya barafu lililofunika mji wa Paris leo. Picha: REUTERS

Mwanaume akijaribu kufukua gari lake lililofunikwa na barafu mjini wa Paris leo. Picha: REUTERS

No comments:

Post a Comment