Tuesday, February 19, 2013

WENGER AGEUKA MBOGO KWENYE MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI WALIOMUULIZA KUHUSU KIWANGO KIBOVU CHA TIMU YAKE NA UVUMI KWAMBA AMESAINI MKATABA MPYA WA MIAKA MIWILI AMBAO AMEKANUSHA 
"Msiniulize kuhusu mechi ya Blackburn. Hiyo mechi imeshapita na tulishafanya mkutano wa baada ya mechi na waandishi wa habari. Sijaja hapa kuzungumzia mechi hiyo... natarajia kupata maswali kuhusu Ligi ya Klabu Bingwa..."


No comments:

Post a Comment