Mchezaji Haji wa Haji wa Malindi akimiliki mpira wakati wa mechi yao ya ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar kwenye uwanja wa Mao Tse Tung leo. Malindi ilishinda 3-1. |
Rajab Rashid wa Malindi (mbele) akimzidi akili mchezaji mwenzake wa Bandari wakati wa mechi yao ya ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar kwenye uwanja wa Mao Tse Tung leo. Malindi ilishinda 3-1. |
No comments:
Post a Comment