Friday, November 23, 2012

HAYAWI HAYAWI, YAMEKUWA.... SHAABAN TARISHI ACHUKUA JIKO

Ilikuwa ni mwanzo wa maisha mapya kwa Shaaban Tarishi (kushoto) wakati alipofunga ndoa na Ghanima Ahmad katika sherehe iliyofanyika Ilala jijini Dar es Salaam jana Alhamisi Novemba 22, 2012. Shaaban ni msanifu kurasa wa kampuni ya The Guardian LTD na mkewe Ghanima pia ni msanifu kurasa wa kampuni binafsi ya Kariakoo jijini pia.

No comments:

Post a Comment