Wednesday, October 3, 2012

MAMBO YALIVYOKUWA KATIKA VIWANJA MBALIMBALI LIGI YA KLABU BINGWA ULAYA JANA

Kiungo wa Bayern Munich, Bastian Schweinsteiger (kushoto),Toni Kroos (katikati) na Dante (kulia) wakijiuliza wakati wa mechi yao ya Kundi F la Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya BATE Borisov kwenye Uwanja wa Dinamo jana Oktoba 2, 2012. Picha: REUTERS

Kiungo wa Barcelona, Sergio Busquets (kushoto) akitolewa kwa kadi nyekundu iliyozua maswali kibao wakati wa mechi yao ya Kundi G la Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya Benfica kwenye Uwanja wa Luz mjini Lisbon, jana Oktoba 2, 2012. Barca walishinda 2-0. Picha: REUTERS

Beki wa Chelsea, David Luiz (kulia) akishangilia goli lake na mchezaji mwenzake Eden Hazard baada ya kufunga kwa 'fri-kiki' ya hatari iliyokwenda moja kwa moja wavuni wakati wa mechi yao ya Kundi E la Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya FC Nordsjaelland mjini Copenhagen jana Oktoba 2, 2012. Picha: REUTERS
Kipa wa Manchester United, David de Gea (juu) akiokoa mbele ya mchezaji wa CFR Cluj, Sasa Bjelanovic mechi yao ya Kundi H la Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya CFR Cluj mjini Cluj-Napoca, Km. 426 kaskazini magharibi mwa jiji la Bucharest, jana Oktoba 2, 2012. Man Utd ilishinda 2-1. Picha: REUTERS

Kiungo wa BATE Borisov, Aleksandr Hleb (kushoto) akiwania mpira dhidi ya kiungo wa Bayern Munich, Javi Martinez wakati wa mechi yao ya Kundi F la Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya kwenye Uwanja wa Minsk's Dinamo jana Oktoba 2, 2012. Bayern walikalishwa 3-1. Picha: REUTERS
Kiungo wa Juventus, Mghana Kwadwo Asamoah (kushoto) akirukia mpira wakati wa mechi yao ya Ligi ya Klabu Bingwa jumps for the ball during their Champions League Group E soccer match against Shakhtar Donetsk at the Juventus stadium in Turin October 2, 2012.

Mchezaji wa Benfica, Lima (katikati) akijilaumu wakati wa mechi yao ya Kundi G la Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya Barcelona kwenye Uwanja wa Luz mjini Lisbon, jana Oktoba 2, 2012. Barca walishinda 2-0. Picha: REUTERS
Straika wa Barcelona, Lionel Messi (kulia) akimiliki mpora dhidi ya Nicolas Gaitan wa Benfica wakati wa mechi yao ya Kundi G la Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya kwenye Uwanja wa Luz mjini Lisbon, jana Oktoba 2, 2012. Barca walishinda 2-0. Picha: REUTERSBeki wa Manchester United, Rio Ferdinand (kulia) akipewa kadi ya njano na refa Alberto Undiano Mallenco wa Hispania wakati wa mechi yao ya Kundi H la Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya CFR Cluj mjini Cluj-Napoca, Km. 426 kaskazini magharibi mwa jiji la Bucharest, jana Oktoba 2, 2012. Man Utd ilishinda 2-1. Picha: REUTERS

Straika wa Manchester United, Wayne Rooney akirejesha chupa kwa kocha Alex Ferguson (kushoto) wakati wa mechi yao ya Kundi H la Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya CFR Cluj mjini Cluj-Napoca, Km. 426 kaskazini magharibi mwa jiji la Bucharest, jana Oktoba 2, 2012. Man Utd ilishinda 2-1. Picha: REUTERS
Straika wa Manchester United, Robin van Persie akipungia mashabiki baada ya mechi yao ya Kundi H la Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya CFR Cluj mjini Cluj-Napoca, Km. 426 kaskazini magharibi mwa jiji la Bucharest, jana Oktoba 2, 2012. Man Utd ilishinda 2-1. Picha: REUTERS


No comments:

Post a Comment