Monday, October 15, 2012

KIM KARDASHIAN KWELI UTULIVU 'ZIRO'... WAKATI BONGO TUKIKUMBUKIA KIFO CHA BABA WA TAIFA JANA, YEYE ACHANGANYA WATU KWA KUKATIZA NA BOIFRENDI WAKE KANYE WEST MITAA YA MIAMI AKIWA NA KISKETI CHA KUBANA KINACHOONYESHA NDANI HUKU AKIWA HAJATUPIA 'KUFULI' KABISAAA...!

Kim Kardashian akijiachia katika fukwe za Miami mjini Florida.
Mmh...! Tazama kinguo cha Kardashian kinachoonyesha maungo huku mwenyewe akikatiza mitaa ya Miami akiwa bila kivazi chochote ndani. Hii ilikuwa jana Jumapili, Oktoba 14, 2010.

Tazama hapo kunako nanihii kwa umakiiiiiiini...! Hapa ni jana Jumapili (Oktoba 14, 2012) wakati akikatiza katika mitaa ya fukwe za Miami, Florida.  

Hapa akiwa na 'boifrendi' wake Kanye West... tazama hicho kiguo kinavyoonyesha nani hii huku ndani akiwa hana kufuli kabisaaa...! Hii pia ni jana Jumapili (Oktoba 14, 2012) wakati wakiwa kwenye kitaa ya fukwe za Miami, Florida.

Kim Kardashian

Kim Kardashian na mpenziwe Kanye West wakikatiza mitaa jana Jumapili, Oktoba 14, 2012.

Achana nao... twenzetu!

Wanatuonea gere... mie hata ukitembea bila kufuli poa tu! Kanye West akiwa na Kardashian kwenye mitaa ya Miami, Florida jana Oktoba 14, 2012.  

Kanye West na Kardashian
Hapo chacha....! Vibweka vyote hivi ni jana Jumapili, Oktoba 14, 2012 wakati Kardashian akiwa Miami, Florida.
Majuu kweli hamnazo! Wakati Watanzania tukikumbuka miaka 13 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jana, msanii nyota wa vipindi vya maisha halisi kwenye televisheni nchini Marekani, Kim Kardashian, aliwaacha hoi watu kibao waliomshuhudia katika mitaa ya Miami mjini Florida baada ya kukatiza mitaani bila hofu akiwa na mpenzi wake Kanye West huku akiwa amevalia kisketi kidogo cha kubana na kinachoonyesha kila kitu ndani!

Cha kushangaza zaidi, mrembo huyo hakuonyesha kujali kuhusiana na 'adhabu bila kosa' aliyokuwa akiitoa kwa mijidume yenye 'ngare' iliyokuwa ikimtazama kwa jicho linalosema 'njoo kwangu' baada ya kutotupia chochote ndani, yaani alionekana hana 'kufuli' kabisaaaa,  hivyo maungo yake muhimu yakawa yakionekana bure beleshi machoni mwa kila aliyebahatika kumtazama!

Hata hivyo, boifrendi wake Kanye West hakuonekana kujali na badala yake, muda wote alionyesha sura yenye bashasha na tabasamu tele, akionekana kufaidi maraha kwa kule kushikana na kumuongoza njia mpenzi wake huyo. 


Je wangepita hivyo katika mitaa ya Bongo, hasa pale Kongo au Msimbazi, Kariakoo jijini Dar...INGEKUWAJE?

No comments:

Post a Comment