Tuesday, September 11, 2012

SOMOE ATWAA TUZO YA MFANYAKAZI BORA WA MWEZI THE GUARDIAN

Mkurugenzi Mtendaji wa The Guardian Limited, Kiondo Mshana (Kushoto), akimkabidhi cheti cha kutambua utendaji bora wa kazi, kwa mwandishi wa habari za michezo wa gazeti la NIPASHE, Somoe Ng'itu huku Meneja Rasilimali watu, Joachim David, akishuhudia katika hafla fupi iliyofanyika chumba cha habari cha The Guardian jijini Dar es Salaam jana. Somoe anakuwa mfanyakazi wa pili kunyakua tuzo ya mfanyakazi bora wa mwezi wa kampuni na kujinyakulia Shilingi 500,000.

No comments:

Post a Comment