![]() |
Theo Walcott |
Walcott atakuwa huru kusaini mkataba wa makubaliano ya awali na klabu nyingine kufikia Januari 1 na kocha Arsene Wenger amekiri kwamba wanaweza kumuuza kama atakataa kusaini mkataba mpya waliompa kabla ya krismasi.
Gazeti la TZ limesema kuwa Bayern wanafuatilia kwa karibu maendeleo ya kusainiwa kwa mkataba mpya wa Walcott.
No comments:
Post a Comment