Friday, August 3, 2012

SHAKIRA, PITBULL KATIKA VIDEO MPYA

Pitbull
Pitbull akijiachia na kimwana mwanamitindo wakati akirekodi video ya wimbo wake mpya wa "Get It Started"
Ilikuwa ni 'sherehe' ya kimataifa wakati Pitbull aliposhirikiana na Shakira kurekodi video ya rapa huyo ya wimbo wake mpya wa "Get It Started."

Pitbull a.k. Mr. Worldwide alijiachia ipaswavyo na kimwana mwanamitindo aliyekuwa amevalia vinguo vya "chumbani", kimwana mwenye mvuto wa aina yake Shakira alikuwa amevalia gauni la rangu ya dhahabu akiangalia kutokea kwenye kibaraza cha ghorofani.

Ikiongozwa na David Russo, video hiyo ilizinduliwa jana, huku wimbo huo ukitarajiwa kuwemo katika albam mpya ijayo ya Pitbull iitwayo "Global Warming".


Pitbull
Pitbull wakati wa kurekodi video hiyo
Pitbull
Pitbull akirekodi video hiyo...
Shakira
Shakira akiangalia kutokea "balcony" akirekodi video ya Pitbull
Shakira
Shakira akirekodi video ya Pitbull

No comments:

Post a Comment