Thursday, August 16, 2012

REDDS MISS ILALA 2012 WATAMBULISHWA

Mratibu wa Shindano la Redds Miss Ilala 2012, Gadner G Habash (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Nyumbani Lounge wakati akiwatambulisha warembo watakaoshiriki kwenye fainali ya Redds Miss Ilala ambalo washindi wataingia moja kwa moja kwenye fainali ya Redds Miss Tanzania. Kulia ni mmoja wa waratibu wa shindano hili Juma Mabakila. Jumla ya warembo 15 watashiriki kwenye kinyang'anyiro hicho kitakachofanyika Septemba 7, 2012 kwenye ukumbi wa Nyumbani Lounge.

Mratibu wa Shindano la Redds Miss Ilala 2012, Gadner G Habash (wa pili kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Nyumbani Lounge wakati akiwatambulisha warembo watakaoshiriki kwenye fainali ya Redds Miss Ilala ambalo washindi wataingia moja kwa moja kwenye fainali ya Redds Miss Tanzania. Kulia ni mmoja wa waratibu wa shindano hili Juma Mabakila. Cylivia Mashuda na Neema Mbula ambao ni walimu wa warembo.

Warembo wa Redds Miss Ilala 2012
Warembo wa Redds Miss Ilala 2012

No comments:

Post a Comment