Tuesday, August 7, 2012

HATIMAYE ARSENAL YAMTAMBULISHA CAZORLA

Mchezaji wa timu ya taifa ya Hispania, Santiago Cazorla akisikiliza wimbo wa taifa kabla ya kuanza kwa mechi yao ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Korea Kusini kabla ya fainali za Euro 2012 mjini Bern katika picha hii ya maktaba iliyopigwa Mei 30, 2012. Arsenal wamemsajili kiungo wa Malaga, Mhispania Cazorla, klabu hiyo ya Ligi Kuu ya England imetangaza leo Agosti 7, 2012. Picha: REUTERS
Santiago Cazorla akiwa ameshikilia uzi wake wa Gunners baada ya kutambulishwa rasmi katika klabu hiyo ya London leo

No comments:

Post a Comment