| Kikundi pekee cha akina dada kwenye mashindano ya Dance 100% wakionyesha vitu vyao kwenye robo fainali. Mashindano haya yameandaliwa na EATV. |
| Sehemu ya umati wa mashabiki waliofurika kwenye viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar es Salaam kushuhudia mashindano ya Dansi Mia Mia. |
| Watasha wakifuatilia staili za hatari za kudansi kutoka kwa vijana wa Kitanzania kwenye viwanja wa Leaders Club Kinondoni... |
| Vijana wakionyesha mambo... |
| Madansa wa kikundi cha Best Friends wakifanya mabalaa yao wakati wa mashindano ya Dance Mia Mia... |
| Dansa wa kikundi cha Best Friends akizungukia kichwa wakati wa mashindano ya Dance Mia Mia... |
| Madansa wa kikundi cha Best Friends wakifanya mabalaa yao wakati wa mashindano ya Dance Mia Mia... |
| Madansa wa kikundi cha T-Africa wakionyesha staili zao wakati wa mashindano ya Dance Mia Mia... |
No comments:
Post a Comment