Sunday, June 17, 2012

LISA JENSEN ASHINDA REDDS MISS TANZANIA 2012


Lisa Jensen (katikati) akivishwa taji la Redds Miss Tanzania 2012 na mrembo wa mwaka jana Salha Israel (kushoto) baada ya kushinda shindano hilo kwenye ukumbi wa Klabu 327 jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo. Kulia ni mshindi wa tatu Pendo Laizer. Picha: INTELLECTUALS COMMUNICATIONS LIMITED


 Washiriki wote walioingia katika kinyang'anyiro cha kuwania taji la Redds Miss World Tanzania 2012 wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa shindano hilo lililofanyika kwenye ukumbi wa Klabu 327 jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo. Picha: INTELLECTUALS COMMUNICATIONS LIMITED

No comments:

Post a Comment