Sunday, October 6, 2013

MIMI NDO' BIBI BOMBA

Meneja wa Wateja Wadogo Wadogo wa Kampuni ya Huduma za Simu ya Zantel, Haidary Chamshana (kushoto) akikabidhi hundi ya Sh. milioni 12 kwa mshindi wa shindano la Bibi Bomba, Mgeni Ibrahim. Kulia ni Ali Omari kutoka mradi wa Wazazi Nipendeni. Kampuni ya Zantel pia ilidhamini shindano hilo lililofikia tamati Ijumaa.

No comments:

Post a Comment