Saturday, February 9, 2013

NYUMBA ANAYOISHI VICTOR WANYAMA MJINI GLASGOW

Kiungo Mkenya Victor Wanyama anayechezea klabu ya Celtic ya nchini Scotland akishangilia moja ya mabao aliyoifungia timu hiyo.

http://1.bp.blogspot.com/-ZcLiLQUeCbY/UQbYzeyMhLI/AAAAAAAAPyA/s5riCZbzxM4/s1600/wanyama2.jpg
Kiungo Mkenya Victor Wanyama anayechezea klabu ya Celtic ya nchini Scotland akijiachia nyumbani kwake mjini Glasgow.
http://1.bp.blogspot.com/-0k1edfag-t4/UQbY0uxKeqI/AAAAAAAAPyU/c7NfbsbNVLQ/s1600/wanyama4.PNG
Hapa ndiyo chumbani kwake... makorokoro mengi ya nini?
http://1.bp.blogspot.com/-FW3WzZnXFJo/UQbYzvZ4htI/AAAAAAAAPyI/U5C4LLBoXjo/s1600/wanyama3.jpg
Hapo ndo sebuleni kwake...
Wanyama akiwa sebuleni... soka linalipa bhana (ukiliweza lakini)

No comments:

Post a Comment