Tuesday, September 18, 2012

WARIDI FRANK NDIYE REDDS MISS KANDA YA KASKAZINI

Redds Miss Kanda ya Kaskazini, Warida Frank (katikati) akiwa na washindi wenzake Anande Raziel (kulia) na Lucy Stefano (kushoto) mara baada ya kutawazwa kuwa washindi wa Redds Miss Kanda ya Kaskazini. Washindi hao wanatarajiwa kujiunga kwenye kambi ya Redds Miss Tanzania hapo baadae ili kujiandaa na shindano la taifa la Redds Miss Tanzania 2012.

Warembo walioingia hatua ya tano bora kwenye shindano la Redds Miss Kanda ya Kaskazini wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kutangazwa kwa washindi walioshika nafasi tatu za juu ambapo washindi hao wanatarajiwa kujiunga kwenye kambi ya Redds Miss Tanzania baadaye ili kujiandaa na shindano la taifa la Redds Miss Tanzania 2012.
Warembo walioshiriki shindano la Redds Miss Kanda ya Kaskazini wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa shindano hilo.
Mkurugenzi wa Lino Agency, Hashimu Lundenga (katikati) akifuatilia kwa ukaribu shindano la Redds Miss Kanda ya Kaskazini wakati warembo mbalimbali waliotoka katika mikoa ya Kilimanjaro, Manyara, Tanga na Arusha wakichuana kumsaka mshindi wa taji la Redds Miss Kanda ya Kaskazini ambapo Warida Frenk aliibuka mshindi akifuatiwa na Anande Raziel na Lucy Stefano. Washindi hao wanatarajiwa kujiunga kwenye kambi ya Redds Miss Tanzania baadaye ili kujiandaa na shindano la taifa la Redds Miss Tanzania 2012.

No comments:

Post a Comment