Saturday, July 28, 2012

ONA BALAA LA RIHANNA, ATINGA MTAANI NA KINGUO CHA UFUKWENI, AFUATWA NA KUNDI LA WATU

Rihanna akiwa amevali kivazi cha ufukweni akitokea kwenye boti ya kifahari aliyokuwa akijiachia na rafikize akiingia mtaani bila ya hofu huku mlinzi wake akiwa bize kuwazuia watu waliokuwa wakimshangaa wasimkaribie..
Mlinzi wa Rihanna akiwa bize kuwasogeza watu waliokuwa wakimshangaa Rihanna na kivazi chake mtaani wasimsogelee 'supastaa' huyo.
Rihanna akikatiza mtaani huku watu wakimfuata nyuma
Rihanna akikatiza mitaa ya St Tropez, Ufaransa


Sasa ndio nini kuvaa hivyo mitaani?...... Paparazzi wa kike aliyebahatika kuzungumza na Rihanna akiuliza mawili-matatu

Pisheni mbele huko... mlinzi wa Rihanna akiwa bize kumlinda bosi wake wakati akikatiza mitaani

No comments:

Post a Comment