Tuesday, August 21, 2012

SONG ATAMBULISHWA NA AKINA FABREGAS, MESSI NOU CAMP

Mchezaji mpya wa Barcelona, Alex Song (wa pili kushoto) akipiga makofi pembeni ya mchezaji mwenzake Cesc Fabregas (kulia) na kipa chaguo la pili Jose Manuel Pinto (kushoto) wakati wa kutambulishwa kwa timu kwenye Uwanja wa Nou Camp mjini Barcelona jana Agosti 20, 2012. Picha: REUTERS
Mchezaji mpya wa Barcelona, Alex Song (katikati) akipiga makofi pembeni ya kipa chaguo la pili Jose Manuel Pinto (kushoto) wakati wa kutambulishwa kwa timu kwenye Uwanja wa Nou Camp mjini Barcelona jana Agosti 20, 2012. Picha: REUTERS

No comments:

Post a Comment