Monday, September 10, 2012

ONA MAPICHA YA SERENA ALIPOTWAA TENA TAJI LA US OPEN

Serena Williams wa Marekani akishangilia baada ya kumshinda Victoria Azarenka wa Belarus katika fainali kwa seti 6-2 2-6 7-5 na kutwaa taji la tenisi la U.S. Open mjini New York jana Septemba 9, 2012. Lilikuwa ni taji la nne la US Open kwa Serena na pia taji lake la 15 la mashindano makubwa ya grand slam. Picha: REUTERS

Siamini nimembwaga mcheza tenisi Na.1 wa sasa wa dunia... Serena Williams wa Marekani akiwa haamini baada ya kumshinda mcheza tenisi Na.1 duniani, Victoria Azarenka wa Belarus, katika fainali kwa seti 6-2 2-6 7-5 na kutwaa taji la tenisi la U.S. Open mjini New York jana Septemba 9, 2012. Lilikuwa ni taji la nne la US Open kwa Serena na pia taji lake la 15 la mashindano makubwa ya grand slam. Picha: REUTERS

Si mlisema nimekwisha? Serena akishangilia baada ya kumbwaga Victoria Azarenka katika fainali ya US Open jana.

Kabati langu limeshajaa haya makombe... Serena akishangilia kombe lake la 15 kubwa la tenisi

Najisikia utaaamu.... Serena Williams wa Marekani akipozi na kombe lake baada ya kumshinda Victoria Azarenka wa Belarus katika fainali kwa seti 6-2 2-6 7-5 na kutwaa taji la tenisi la U.S. Open mjini New York jana Septemba 9, 2012. Lilikuwa ni taji la nne la US Open kwa Serena na pia taji lake la 15 la mashindano makubwa ya grand slam. Picha: REUTERS

Wewweeeeeeeeeee..... Nimerudi sasa, mlidai nimekwisha eenhe?

Kilio... mcheza tenisi Na.1 duniani, Victoria Azareka akimwaga kilio baada ya kuchapwa na Serena Williams katika fainali ya US Open jana Jumapili.

Inhiiiiiii.. inhi... inhi... kanifungaje huyu? Halafu nilikuwa nakarabia kushinda ile mechi.... Azarenka akimwaga kilio baada ya kufungwa na Serena katika fainali ya US Open

Azarenka akilia...

Azarenka akilia...

Victoria Azarenka akimpongeza Serena baada ya mechi yao ya fainali ya US Open

Serena (kulia) na Azarenka wakipozi kwa picha baada ya kukabidhiwa mataji yao baada ya fainali ya tenisi ya US Open jana. Picha: REUTERS

Cheka kidogo basi... Victoria Azarenka (kushoto) akifurahi baada ya kuzoea hali ya kuwa amepoteza mechi ya fainali ya tenisi ya US Open dhidi ya Serena (kulia) jana. Picha: REUTERS

Nshasahau kwamba nilikuwa nalia... Victoria Azarenka (kushoto) akifurahi pamoja na bingwa wa US Open, Serena William (kulia) baada ya mechi yao ya fainali jana. Picha: REUTERS 

Serena akipozi na kombe lake la US Open

Serena Williams wa Marekani akimkumbatia mama yake Oracena Williams baada ya kumshinda Victoria Azarenka wa Belarus katika fainali kwa seti 6-2 2-6 7-5 na kutwaa taji la tenisi la U.S. Open mjini New York jana Septemba 9, 2012. Lilikuwa ni taji la nne la US Open kwa Serena na pia taji lake la 15 la mashindano makubwa ya grand slam. Picha: REUTERS

Serena akishangilia baada ya ushindi wa US Open

Woyooooooo..... woyo yo yo

My oooh my..... siamini

Wewweeeeeeeee

Dahhhhhh! leo nimetishaaaaa

Oyeeeeeeeeeee. Serena akishangilia kwa hisia

Ushindi wa leo..... siamini. Serena akishangilia

Oh asante Mungu.... Serena akishangilia kwa kutwaa taji la US Open

Serena akipozi na kombe lake la US Open jana

No comments:

Post a Comment