Wednesday, September 5, 2012

OBAMA NA WANAE WAKIMUANGALIA MAMA KWENYE RUNINGA

Rais wa Marekani Barack Obama na binti zake Malia (kushoto) na Sasha, wakiangalia televisheni wakati 'first lady' Michelle Obama akipanda stejini kutoa hotuba katika Kongamano la Kitaifa la Chama cha Democratic, katika chumba cha wageni cha Ikulu ya Marekani mjini Washington jana Septemba 4, 2012. Picha:REUTERS
Mke wa Rais wa Marekani, Michelle Obama akizungumza wakati wa Kongamano la Kitaifa la Chama cha Democratic mjini Charlotte, North Carolina, jana Septemba 4, 2012. Picha: REUTERS

No comments:

Post a Comment