Friday, August 17, 2012

VAN PERSIE AKIWASILI MANCHESTER KUPIMA AFYA

Robin van Persie akiwasili kwenye hospitali ya Bridgewater kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya afya na Manchester United jana. RVP anatarajiwa kutangazwa rasmi kujiunga na Man United leo.

No comments:

Post a Comment