Friday, August 17, 2012

TAZAMA ORODHA YA WACHEZAJI WA KLABU YAKO YA UINGEREZA WALIOSAJILIWA NA WALIOUZWA

Ifuatayo ni orodha iliyotolewa leo ya wachezaji waliosajiliwa na kuhama katika klabu zote za Ligi Kuu ya England:

Mchezaji mpya wa Manchester United, Robin van MAGOLI (kushoto) akishikilia jezi Na.20 pamoja na kocha wake mpya Sir Alex Ferguson baada ya kusaini mkataba wa kuichezea klabu hiyo ya Old Trafford kwa miaka minne. PICHA: REUTERS

ARSENAL

Waliosajiliwa:

Santi Cazorla (Malaga, Hispania kwa paundi za England milioni 16.5), Olivier Giroud (Montpellier, Ufaransa kwa paundi milioni 13), Lukas Podolski (FC Cologne, Ujerumani kwa paundi milioni 11)

Walioondoka:

Manuel Almunia (Watfordw - bure), Gavin Hoyte (Dagenham - bure), Robin van Persie (ametua Manchester United)
---------------------------------


Emile Heskey - Ametemwa

ASTON VILLA

Waliosajiliwa:

Ron Vlaar (Feyenoord, Uholanzi kwa ada isiyotajwa), Matthew Lowton (Sheffield United kwa paundi milioni 3), Karim El Ahmadi (Feyenoord, Uholanzi kwa ada isiyotajwa), Brett Holman (AZ Alkmaar, Uholanzi kwa ada isiyotajwa)

Walioondoka:
James Collins (West Ham United kwa ada isiyotajwa), Emile Heskey (ametemwa), Carlos Cuellar (Sunderland - bure)


---------------------------------

Oscar wa Brazil akimiliki mpira wakati wa mechi ya nusu fainali ya Michezo ya Olimpiki ya London 2012 dhidi ya Korea London 2012 kwenye Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester Agosti 7, 2012. Osca ametua Chelsea.

CHELSEA

Waliosajiliwa:

Oscar (Internacional, Brazil kwa paundi milioni 25), Marko Marin (Werder Bremen, Ujerumani kwa paundi milioni 7), Eden Hazard (Lille, Ufaransa kwa paundi milioni 32), Thorgan Hazard (Lens, Ufaransa - bure)

Waliosajiliwa:
Didier Drogba (Shanghai Shenhua, China kwa uhamisho huru), Salomon Kalou (Lille, Ufaransa kwa uhamisho huru), Jose Bosingwa (ametemwa, ametua bure QPR), Jacob Mellis (Barnsley - bure)


---------------------------------

Louis Saha (kushoto) akipongezwa na Luca Modric. Saha ametemwa na amejiunga bure na Sunderland wakati Modric anajiandaa kujiunga na Real Madrid.

TOTTENHAM

Waliosajiliwa:

Jan Vertonghen (Ajax, Uholanzi kwa paundi milioni 10), Gylfi Sigurdsson (Hoffenheim, Ujerumani  kwa paundi milioni 8)

Walioondoka:
Steven Pienaar (Everton kwa paundi milioni 4.5), Vedran Corluka (Lokomotiv Moscow, Urusi kwa paundi milioni 5), Niko Kranjcar (Dynamo Kiev, Ukraine kwa paundi milioni 2), Ryan Nelsen (Tottenham - bure), Louis Saha (Sunderland - bure), Ben Alnwick (Barnsley - bure)

---------------------------------

WEST BROMWICH ALBION

Waliosajiliwa:

Markus Rosenberg (Werder Bremen, Ujerumani - bure), Claudio Yacob (Racing Club de Avellaneda, Argentina - bure), Ben Foster (Birmingham City kwa paundi milioni 4)

Walioondoka:
Keith Andrews (Bolton - bure), Simon Cox (Nottingham Forest kwa ada isiyotajwa), Paul Scharner (ameachwa), Marton Fulop (Astera Tripolis, Ugiriki - bure), Nicky Shorey (Reading - bure), Joe Mattock (Sheffield Wednesday - bure), Somen Tchoyi (ameachwa)

---------------------------------

EVERTON

Waliosajiliwa:

Steven Pienaar (Tottenham kwa paundi milioni 4.5), Steven Naismith (Rangers, Scotland - bure)

Walioondoka:
Jack Rodwell (Manchester City kwa paundi milioni 12), Tim Cahill (New York Red Bull, Marekani kwa paundi milioni moja), Adam Forshaw (Brentford kwa ada isiyotajwa), James McFadden (ametemwa), Marcus Hahnemann (ametemwa), Joao Silva (Levski Sofia, Bulgaria kwa ada isiyotajwa), Joseph Yobo (Fenerbahce, Uturuki - bure)


---------------------------------

Hugo Rodallega wa Fulham akiwa uwanjani wakati wa mechi ya kirafiki ya kujiandaa na msimu baina ya MK Dons na Fulham kwenye Uwanja wa MK Agosti 7, 2012 mjini Milton Keynes, England. Rodallega ametua Fulham bure baada ya kutemwa na Wigan.

FULHAM

Waliosajiliwa:

Hugo Rodallega (Wigan Athletic - bure), Mladen Petric (Hamburg, Ujerumani - bure), George Williams (MK Dons - bure)

Walioondoka:
Dickson Etuhu (Blackburn Rovers kwa ada isiyotajwa), Marcel Gecov (Gent, Ubelgiji kwa ada isiyotajwa), Andrew Johnson (QPR - bure), Danny Murphy (Blackburn Rovers - bure), Bjorn Helge Riise (ametemwa), Orlando Sa (ametemwa)

---------------------------------



Joe Allen ametua kutoka Swansea

LIVERPOOL


Waliosajiliwa:
Joe Allen (Swansea City kwa paundi milioni 15), Fabio Borini (AS Roma, Italia kwa paundi milioni 10)

Walioondoka:
Craig Bellamy (Cardiff City kwa ada isiyotajwa), Alberto Aquilani (Fiorentina, Italia kwa ada isiyotajwa), Maxi Rodriguez (Newell’s Old Boys, Argentina kwa ada isiyotajwa, Dirk Kuyt (Fenerbahce, Uturuki kwa paundi milioni 1), Fabio Aurelio (Gremio, Brazil - bure), David Amoo (Preston North End - bure)

---------------------------------


Jack Rodwell ametua Manc City akitokea Everton

MANCHESTER CITY


Waliosajiliwa:
Jack Rodwell (Everton kwa paundi milioni 12)

Walioondoka:
Vladimir Weiss (Pescara, Italia kwa ada isiyotajwa), Owen Hargreaves (ametemwa), Stuart Taylor (ametemwa)

---------------------------------

Robin van Persie akiwasili kwenye hospitali ya Bridgewater kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya afya na Manchester United.

MANCHESTER UNITED

Waliosajiliwa:

Nick Powell (Crewe Alexandra kwa paundi milioni milioni 4), Shinji Kagawa (Borussia Dortmund, Ujerumani kwa paundi milioni 17), Robin van Persie (Arsenal kwa paundi milioni 24)

Walioondoka:
Paul Pogba (Juventus, Italia - bure), Park Ji-sung (QPR kwa ada isiyotajwa), Tomasz Kuszczak (Brighton & Hove Albion - bure), Michael Owen (ametemwa), Richie De Laet (Leicester City, kwa ada isiyotajwa), Matty James (Leicester City kwa ada isiyotajwa)

---------------------------------

NEWCASTLE UNITED

Waliosajiliwa:

Vurnon Anita (Ajax, Uholanzi kwa paundi milioni 6.7), Curtis Good (Melbourne Heart, Australia kwa paundi 400,000), Gael Bigirimana (Coventry City kwa ada isiyotajwa), Romain Amalfitano (Reims, Ufaransa - bure)

Walioondoka
Fraser Forster (Celtic, Scotland kwa paundi milioni 2), Leon Best (Blackburn Rovers kwa paundi milioni 3), Peter Lovenkrands (ametemwa), Danny Guthrie (Reading - bure), Alan Smith (MK Dons - bure), Tamas Kadar (Roda JC, Uholanzi - bure)

---------------------------------

NORWICH CITY

Waliosajiliwa:

Michael Turner (Sunderland kwa ada isiyotajwa), Robert Snodgrass (Leeds United kwa paundi milioni 3), Steven Whittaker (Rangers, Scotland - bure), Jacob Butterfield (Barnsley kwa ada isiyotajwa)

Walioondoka:
Andrew Crofts (Brighton & Hove Albion kwa ada isiyotajwa), Adam Drury (Leeds United - bure), Zak Whitbread (Leiciester City - bure), Aaron Wilbraham (Crystal Palace - bure), Josh Dawkin (ametemwa)

---------------------------------

Kocha wa Queens Park Ranger, Mark Hughes (kushoto) na kiungo wa Korea Kusini, Park Ji-Sung wakitangaza kusajiliwa kwa nyota huyo kutoka Manchester United kwa ada ya uhamisho ambayo haitajwi katika mkutano na wanahabari mjini London Julai 9, 2012. Park amejiunga na QPR akitokea Man United kwa mkataba wa miaka miwili, klabu hiyo ya London magharibi imetangaza leo. Picha: REUTERS

QPR

Waliosajiliwa:

Jose Bosingwa (alitemwa Chelsea), Junior Hoilett (Blackburn Rovers), Park Ji-sung (Man Utd kwa ada isiyotajwa), Robert Green (West Ham United - bure), Ryan Nelsen (Tottenham - bure), Andrew Johnson (Fulham - bure), Samba Diakite (Nancy, Ufaransa kwa ada isiyotajwa)

Walioondoka:
Heidar Helguson (Cardiff City kwa ada isiyotajwa), Paddy Kenny (Leeds United kwa paundi 400,000), Peter Ramage (Crystal Palace - bure), Rowan Vine (St Johnstone, Scotland - bure), Danny Gabbidon (ameachwa), Danny Shittu (ameachwa), Fitz Hall (ameachwa), Lee Cook (ameachwa), Patrick Agyemang (ameachwa), Akos Buzsaky (ameachwa)

---------------------------------

READING

Waliosajiliwa:

Chris Gunter (Nottingham Forest kwa paundi milioni 2.5), Adrian Mariappa (Watford kwa paundi milioni 2.5m), Nicky Shorey (West Bromwich Albion - bure), Pierce Sweeney (Bray Wanderers, Ireland kwa ada isiyotajwa), Pavel Pogrebnyak (Stuttgart, Ujerumani - bure), Danny Guthrie (Newcastle United - bure), Garath McCleary (Nottingham Forest - bure)

Walioondoka:
Michail Antonio (Sheffield Wednesday kwa ada isiyotajwa), Brian Howard (ametemwa), Tomasz Cywka (Barnsley - bure) Andy Griffin (ametemwa), Jack Mills (ametemwa), Joseph Mills (Burnley - bure)

---------------------------------

SOUTHAMPTON

Waliosajiliwa:

Nathaniel Clyne (Crystal Palace, malipo bado hayajaafikiwa), Paulo Gazzaniga (Gillingham kwa ada isiyotajwa), Steven Davis (Rangers, Scotland - bure), Alexander Buttner (Vitesse Arnhem, Uholanzi kwa ada isiyotajwa), Jay Rodriguez (Burnley kwa paundi milioni 6)

Walioondoka:
Dan Harding (Nottingham Forest kwa ada isiyotajwa), Radhi Jaidi (amestaafu), David Connolly (ametemwa), Bartosz Bialkowski (Notts County bure), Lee Holmes (ametemwa), Ryan Doble (Shrewsbury Town bure)

---------------------------------

STOKE CITY

Waliosajiliwa:

Michael Kightly (Wolves kwa paundi milioni 2), Geoff Cameron (Houston Dynamo, USA kwa ada isiyotajwa), Jamie Ness (Rangers, Scotland - bure)

Walioondoka:
Jonathan Woodgate (Middlesbrough bure), Andrew Davies (Bradford City - bure), Salif Diao (ametemwa), Ricardo Fuller (ametemwa), Tom Soares (ametemwa)


---------------------------------

Asamoah Gyan ametimkia Umangani kufuata mkataba mnono.

SUNDERLAND

Waliosajiliwa:

Louis Saha (Tottenham - bure), Carlos Cuellar (Aston Villa - bure)

Walioondoka:
Marcos Angeleri (Estudiantes, Argentina kwa ada isiyotajwa), Asamoah Gyan (Al-Ain, UAE kwa paundi milioni 6), Michael Turner (Norwich City kwa ada isiyotajwa), Craig Gordon (ametemwa), Jordan Cook (Charlton Athletic bure), George McCartney (West Ham United kwa ada isiyotajwa)

--------------------------------

SWANSEA

Waliosajiliwa:

Michu (Rayo Vallecano, Hispania kwa paundi milioni 2), Jose Manuel Flores (Genoa, Italia kwa paundi milioni 2)

Walioondoka:
Joe Allen (Liverpool kwa paundi milioni 15), Scott Donnelly (ametemwa), Ferrie Bodde (ametemwa)

---------------------------------

Alou Diarra (kulia) na Franck Ribery wa timu ya taifa ya Ufaransa wakishangilia ushindi dhidi ya Ukraine katika mechi yao ya Kundi D la UEFA Euro 2012 kwenye Uwanja wa Donbass Arena mjini Donetsk, Ukraine Juni 15, 2012. Diarra ametua West Ham akitokea Marseille ya Ufaransa.

WEST HAM UNITED

Waliosajiliwa:

Alou Diarra (Marseille, Ufaransa kwa paundi milioni 2), James Collins (Aston Villa kwa ada isiyotajwa), Modibo Maiga (Sochaux, Ufaransa kwa paundi milioni 5), Jussi Jaaskelainen (Bolton bure), Mohamed Diame (Wigan Athletic bure), Stephen Henderson (Portsmouth kwa ada isiyotajwa), George McCartney (Sunderland kwa ada isiyotajwa), Raphael Spiegel (Grasshoper, Uswisi - bure)

Walioondoka:
Robert Green (QPR bure), Julien Faubert (Elazigspor, Uturuki bure), John Carew (ametemwa), Abdoulaye Faye (ametemwa), Papa Bouba Diop (ametemwa), Frank Nouble (Wolves - bure), Freddie Sears (Colchester - bure)


---------------------------------

Hugo Rodallega wa Fulham akishangilia goli alilofunga ambalo lilikuwa ni pekee katika mechi ya kirafiki ya kujiandaa na msimu baina ya MK Dons na Fulham kwenye Uwanja wa MK Agosti 7, 2012 mjini Milton Keynes, England. Rodallega ametemwa Wigan na ashaanza kutupia Fulham ambako amejiunga bure.

WIGAN ATHLETIC

Waliosajiliwa:

Arouna Kone (Levante, Hispania kwa ada isiyotajwa), Ivan Ramis (Real Mallorca, Hispania kwa ada isiyotajwa), Fraser Fyvie (Aberdeen, Scotland bure)

Walioondoka:
Chris Kirkland (Sheffield Wednesday - bure), Mohamed Diame (West Ham United - bure), Steve Gohouri (ametemwa), Jordan Robinson (ametemwa), Hugo Rodallega (ametemwa), Hendry Thomas (ametemwa)

No comments:

Post a Comment