Kocha wa Hispania kama vile alijua hawa jamaa watafunga akawachagua kuzungumza na vyombo kabla ya mechi yao dhidi ya Puerto Rico.... Wachezaji wa timu ya taifa ya Hispania, Santi
Cazorla (kulia) na Cesc Fabregas wakizungumza katika mkutano na
waandishi wa habari mjini Carolina, Agosti 13, 2012. Timu hiyo
itacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Puerto Rico Islanders kesho. Picha:
REUTERS |
No comments:
Post a Comment