Wawakilishi kutoka Coca-Cola, Allen Chikira (kushoto), Juma Munira (wa pili
kushoto), Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah (kulia) na mwenyekiti wa
mashindano ya vijana kutoka TFF, Ahmed
Mgoyi (wa pili kulia) wakionyesha baadhi ya vifaa vya michezo vilivyotolewa na
Kampuni ya Coca-Cola kwa ajili ya michuano ya taifa ya Copa Coca-Cola
inayotarajiwa kutimua vumbi Juni 24. |
No comments:
Post a Comment