Kaka |
Carvalho |
Diarra |
Real Madrid tayari imetimiza kikosi
chake cha wachezaji 25, huku Pedro Leon na Fernando Gago wakitarajiwa pia
kurejea kabla ya kuanza kwa msimu mpya.
Mpango wa kocha Jose Mourinho ni
kupokea ofa kwa ajili ya nyota wake wanne ambao ni Lassana Diarra, Kaka, Hamit
Altintop na Ricardo Carvalho.
Hamit Altintop (kushoto) akiwa 'mzigoni' katika mechi mojawapo ya Real Madrid msimu uliopita |
No comments:
Post a Comment