|
Lenox Lewis |
Bingwa wa zamani wa ngumi za uzito
wa juu Duniani, Lennox Lewis, alikisifia kikosi cha timu ya taifa ya soka ya England
yenye nyota kama Wayne Rooney na Steven Gerrard na kusema kwamba timu nzima ilionyesha
soka safi licha ya kutolewa kwa ‘matuta’ na Italia katika hatua ya robo fainali
ya Euro 2012 jana.
Lennox Lewis ambaye ni raia wa
England, alisema: "Mmefanya kazi kubwa England na hongereni (kwa ushiriki mzuri).
Mtarudi mkiwa ngangari zaidi…!
No comments:
Post a Comment