Thursday, June 28, 2012

CHEZEA PWEZA PAUL......? GURUWE LAENDA CHAKA LIKIJADAI KUTABIRI KAMA MAREHEMU PAULO

Chezea Pweza Paul.......? Kitimoto aitwaye "Funtik" akitabiri matokeo ya mechi ya nusu fainali ya Euro 2012 baina ya Hispania na Ureno, kwa kuchagua chakula kilichomo kwenye sahani yenye bendera ya Ureno, mjini Kiev, Juni 27, 2012. Nguruwe Funtik, aliaminika kwamba angechukua nafasi ya utabiri iliyoachwa na Pweza Paul, aliyetabiri kwa usahihi mechi za Kombe la Dunia 2010 kabla ya kufariki. Hata hivyo, Funtik amechemsha vibaya baada ya Ureno kulala kwa penalti 4-2. Picha: REUTERS

Kitimoto aitwaye "Funtik" akitabiri matokeo ya mechi ya nusu fainali ya Euro 2012 baina ya Hispania na Ureno, kwa kuchagua chakula kilichomo kwenye sahani yenye bendera ya Ureno, mjini Kiev, Juni 27, 2012. Nguruwe Funtik, aliaminika kwamba angechukua nafasi ya utabiri iliyoachwa na Pweza Paul, aliyetabiri kwa usahihi mechi za Kombe la Dunia 2010 kabla ya kufariki. Hata hivyo, Funtik amechemsha vibaya baada ya Ureno kulala kwa penalti 4-2. Picha: REUTERS

No comments:

Post a Comment