Washiriki wa shindano la Redds Miss Mara 2012 wakiwa katika picha ya
pamoja katika ufukwe wa Ziwa Victoria, mkoani Mara baada ya mazoezi yao
jana. Warembo hao wanataraji kupanda jukwaani Ijumaa, Juni 29, 2012
kuchuana vikali kuwania taji la mkoa wa mara na tiketiketi ya Kushiriki
shindano la Redds Kanda ya Ziwa. |
No comments:
Post a Comment