Mapanga shyaaa...! Mmoja wa wasanii kutoka kundi la TMK Wanaume Halisi, Rashid Ziada, maarufu ‘KR Mula’ akifanya show mbele ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliohudhuria kwenye ‘Vodacom Krismass Bonanza’ katika ufukwe wa Coco Beach Dar es Salaam jana, Vodacom Tanzania imedhamini Bonanza hilo katika kipindi hiki cha sikukuu. |
No comments:
Post a Comment