Kipa wa Manchester United, David de Gea (juu) akiokoa mbele ya mchezaji wa CFR Cluj, Sasa Bjelanovic mechi yao ya Kundi H la Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya CFR Cluj mjini Cluj-Napoca, Km. 426 kaskazini magharibi mwa jiji la Bucharest, jana Oktoba 2, 2012. Man Utd ilishinda 2-1. Picha: REUTERS |
No comments:
Post a Comment