|
Redd’s Miss Kanda ya Mashariki 2012, Rose Lucas akiwa ni mwenye furaha baada ya kutajwa kuwa mshindi akiwashinda warembo wengine 11 katika kinyanganyiro hicho cha aina yake. |
|
Redd’s
Miss Kanda ya Mashariki 2012, Rose Lucas (katikati) akipunga mkono kwa
furaha akiwa na mashindi wa pili Irene Veda (kulia) na mshindi wa tatu
Joyce Baluhi mara baada ya kutangazwa kuwa washindi wa
shindano hilo lililofanyika mjini Morogoro usiku wa Septemba Septemba 1,
mwaka huu. Warembo hawa wote watashiriki shindano la Redd’s Miss
Tanzania 2012 baadae mwaka huu. |
|
Washiriki
wa Shindano la Urembo la Redd’s Miss Kanda ya Mashariki 2012
walioingia hatua ya tano bora wakiwa katika picha ya pamoja
baada ya kutinga hatua hiyo. Kutoka kushoto ni Zuhura Gora (6), Irene Veda (7), Salvina Kibona (4), Rose Lucas (9) na Joyce Baluhi (5).
|
|
Twende sasa.... vimwana washiriki wa shindano la Redd's Miss Kanda ya Mashariki wakidansi wakati wa shoo ya utambulisho |
|
Twende sasa.... vimwana washiriki wa shindano la Redd's Miss Kanda ya Mashariki wakidansi wakati wa shoo ya utambulisho |
Warembo
wa Redds Miss Kanda ya Mashariki wakicheza shoo ya ufunguzi wa
shindano lao lililofanyika hoteli ya Nashera Mjini Morogoro usiku wa
kuamkia leo.
CHANZO: Mrokim@blogspot.com
No comments:
Post a Comment