Msanii wa filamu, Steve Nyerere (kulia), ambaye atakuwa mshereheshaji wa shindano la urembo la Redd's Miss Kanda ya Ilala linayotarajiwa kesho katika ukumbi wa Nyumbani Lounge uliopo Namanga jijini Dar es Salaam, akizungumza wakati wa mkutano na wana habari leo. Wengine pichani ni mratibu wa shindano hilo, Juma Madabila (wa pili kulia) na meneja wa kinywaji cha Redds Original, Victoria Kimaro (wa tatu kulia). Kushoto ni warembo washiriki wa shindano hilo. Picha: Intellectuals Communications Limited |
No comments:
Post a Comment