Diwani
wa Kata ya Kibada, Kigamboni (CUF), Juma Nkumbi (wa tatu kutoka
kushoto), akiwa na Diwani wa Vijibweni, Kigamboni (CCM), Suleiman Mathew
(anayemfuatia) katika ukumbi wa City Sports Lounge asubuhi hii, wakati
wa kukabidhi fedha za maandalizi kwa wawakilishi wa Miss Kigamboni,
kwenye shindano la Miss Temeke 2012, linalotarajiwa kufanyika baadaye
mwezi huu. Wengine kulia ni warembo, Eddah Sylvester (Miss Kigamboni
2012) na Esther Albert (Miss Kigamboni namba 4). Kushoto ni Agness
Goodluck (Miss Kigamboni namba 2).
|
No comments:
Post a Comment