GRANDMALT NA ZFA WAWAPIGA MSASA WANAHABARI ZANZIBAR LEO HII
Meneja masoko wa Grandmalt, Fimbo Butala (katikati) akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa ZFA, Masoud Attai Masoud na Mwanasheria wa ZFA katika picha ya pamoja na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya Zanzibar mara baada ya kukamilika kwa semina ya wanahabari kuhusu ligi kuu ya soka ya Grandmalt kwenye hoteli ya Zanzibar Ocean View leo.
No comments:
Post a Comment