Friday, August 17, 2012

ROBIN VAN PERSIE APEWA JEZI Na.20, ATAMBULISHWA, AJIFUA NA AKINA ROONEY

Mchezaji mpya wa Manchester United, Robin van Persie (kushoto) wa Uholanzi akishikilia jezi Na.20 na kocha Alex Ferguson kwenye mkutano na waandishi wa habari kwenye Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester leo Agosti 17, 2012. Van Persie amesaini mkataba wa miaka minne na Man United. Picha: REUTERS
Mchezaji mpya wa Manchester United, Robin van Persie (kushoto) wa Uholanzi akiwa na kocha Alex Ferguson wakati wa kutambulishwa kwenye mkutano na waandishi wa habari kwenye Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester leo Agosti 17, 2012. Van Persie amesaini mkataba wa miaka minne na Man United. Picha: REUTERS

Mimi ni Shetani Mwekundu sasa... Arsenal mtajiju... ha ha haaaaa! Robin van Magoli akicheka wakati wa kutambulishwa mbele ya waandishi wa habari kuwa amejiunga rasmi na Manchester United kwa mkataba wa miaka minne. Si unaona mabango ya United nyuma... chezea Fergie wewe?
Straika mpya wa Manchester United, Robin van Persie wa Uholanzi akishikilia jezi jirani la nembo ya Manchester United baada kutambulishwa mbele ya waandishi wa habari kwenye Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester leo Agosti 17, 2012. Van Persie amesaini mkataba wa miaka minne na Man United. Picha: REUTERS
Straika mpya wa Man United, Robin van Magoli (kulia) akimsalimia Darren Fletcher wakati wa mazoezi yake ya kwanza na chama lake jipya.

Mchezaji mpya wa Manchester United, Robin van Persie wa Uholanzi akishikilia jezi jirani la nembo ya Manchester United baada kutambulishwa mbele ya waandishi wa habari kwenye Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester leo Agosti 17, 2012. Van Persie amesaini mkataba wa miaka minne na Man United. Picha: REUTERS
Mchezaji mpya wa Manchester United, Robin van Persie (kushoto) wa Uholanzi akishikilia jezi Na.20 na kocha Alex Ferguson kwenye mkutano na waandishi wa habari kwenye Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester leo Agosti 17, 2012. Van Persie amesaini mkataba wa miaka minne na Man United. Picha: REUTERS
Hii klabu bwana dole tupu.... Mchezaji mpya wa Manchester United, Robin van Persie akionyesha alama ya dole baada ya kutambulishwa kujiunga na klabu hiyo kwa mkataba wa miaka minne akitokea Arsenal. Picha: REUTERS
Mchezaji mpya wa Manchester United, Robin van Persie (kushoto) wa Uholanzi akisalimia na wachezaji wa timu yake mpya Nani na Fletcher katika mazoezi ya timu hiyo leo.
Kijana wewe jembeee.... sasa msimu huu ukiwashika Arsenane wawe Arse16. Kocha Fergie akimpa maelekezo Robin van Persie wakati wa mazoezi ya Manchester United leo. Picha: http://www.manutd.com








No comments:

Post a Comment