Mshindi wa hatua ya awali ya Castle Lager Super Fan, Ferdinand
Nyambaya, mkazi wa Makondeko mkoani Mbeya akishangilia ushindi huo mara baada ya
kufanikiwa kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho.Mshindi atapata zawadi na
nafasi ya kuwakilisha taifa kwenye kuunda timu ya Afrika United Super
Fan itakayokuwa ikishangilia kwenye fainali za Mataifa ya Afrika nchini Afrika
ya Kusini
|
No comments:
Post a Comment