Saturday, July 28, 2012

WAANGALIE "MR BEAN", BECKHAM NA JAMES BOND WALIVYONAKSHI SHEREHE ZA UFUNGUZI MICHEZO YA OLIMPIKI

Muigizaji Muingereza Rowan Atkinson akiigiza nafasi yake iliyompa umarufu mkubwa duniani ya "Mr Bean" wakati wa sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya London 2012 kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini London, England jana usiku Julai 27, 2012.

2012 Olympic Games - Opening Ceremony
Mtumbuizaji aliyekuwa ndani ya mpira mkubwa akipita kwa watu kupasiana juu yao wakati wa sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya London 2012 kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini London, England jana usiku Julai 27, 2012. Wanamichezo, wakuu wa nchi na watu mbambali kutoka kote duniani walikusanyika kwenye Uwanja wa Olimpiki kwa ajili ya ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki. Mji wa London ndio mwenyeji wa Michezo ya Olimpiki 2012 ambayo inashuhudia michezo 26 ikishindaniwa na wanamichezo 10,500 katika siku 17 za michuano.

2012 Olympic Games - Opening Ceremony
Mchezaji wa mpira wa kikapu Lauren Jackson wa Australia akibeba bendera ya taifa lake wakati wa sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya London 2012 kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini London, England jana usiku Julai 27, 2012.


2012 Olympic Games - Opening Ceremony
Watumbuizaji wakipaa kwa kutumia jetpack wakati wa sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya London 2012 kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini London, England jana usiku Julai 27, 2012.

2012 Olympic Games - Opening Ceremony
Daraja maarufu Uingereza la Tower Bridge lilivyoonekana wakati wa sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya London 2012 kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini London, England jana usiku Julai 27, 2012.

2012 Olympic Games - Opening Ceremony
Uwanja wa Olimpiki uliopambwa kwa taa za rangi mbalimbali wakati wa uzinduzi wa Michezo ya Olimpiki mjini London jana usiku. Wanamichezo, wakuu wa nchi na watu mbambali kutoka kote duniani walikusanyika kwenye Uwanja wa Olimpiki kwa ajili ya ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki. Mji wa London ndio mwenyeji wa Michezo ya Olimpiki 2012 ambayo inashuhudia michezo 26 ikishindaniwa na wanamichezo 10,500 katika siku 17 za michuano.

2012 Olympic Games - Opening Ceremony
Queen Elizabeth II (kulia) na Jacques Rogge (kushoto), ambaye ni Rais wa Kamati ta Kimataifa ya Olimpiki, wakihudhuria ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki jana usiku.


2012 Olympic Games - Opening Ceremony
Watumbuizaji wakifanya mambo wakati wa sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya London 2012 kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini London, England jana usiku Julai 27, 2012.

2012 Olympic Games - Opening Ceremony
Ringi za Olimpiki zikionekana juu...

2012 Olympic Games - Opening Ceremony
David Beckham (wa pili kulia) akiendesha boti ya kasi iliyopewa jina la 'Max Power' ambayo imebeba Mwenge wa Olimpiki ulioshikwa na mbebaji wakipita chini ya daraja maarufu Uingereza la Tower Bridge mjini London, England jana. Wanamichezo, wakuu wa nchi na watu mbambali kutoka kote duniani walikusanyika kwenye Uwanja wa Olimpiki kwa ajili ya ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki. Mji wa London ndio mwenyeji wa Michezo ya Olimpiki 2012 ambayo inashuhudia michezo 26 ikishindaniwa na wanamichezo 10,500 katika siku 17 za michuano.
2012 Olympic Games - Opening Ceremony
Ringi za Olimpiki zikionekana juu...
Ona mlima huu wa bandia ndani ya Uwanja wa Olimpiki wakati wa sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya London 2012 kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini London, England jana usiku Julai 27, 2012.
Muonekano wa jumla wa Uwanja wa Olimpiki wakati wa sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki
Kenneth Branagh akiigiza Utawala wa Shakespeare juu ya mlima bandia uliowekwa kwenye Uwanja wa Olimpiki wakati wa sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya London 2012 kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini London, England jana usiku Julai 27, 2012.
Muonekano wa jumla wa uwanja wakati wa sherehe hizo...
Watumbuizaji wakishuka kutoka kwenye mlima wa bandia uliowekwa uwanjani humo jana...
Mlima wa bandia na mti wake wa bandia vinavyoonekana... baadaye kwenye mizizi ya mti huo walitokeza watu kibao ambao waliigiza kama wamefufuka kutoka katika kizazi cha miaka hiyooooo ya zamani kabisa Uingereza.
Kulikuwa na ufundi mkubwa wa kucheza na rangi tofauti za taa zilizoufanya uwanja wa Olimpiki uonekane tofauti kila dakika...
Ona rangi zilivyoupamba uwanja wa Olimpiki
Ona rangi zilivyoupamba uwanja wa Olimpiki
Ona rangi zilivyoupamba uwanja wa Olimpiki
David Beckham (wa pili kushoto) akiendesha boti ya kasi iliyopewa jina la 'Max Power' ambayo imebeba Mwenge wa Olimpiki ulioshikwa na mbebaji wakipita chini ya daraja maarufu Uingereza la Tower Bridge mjini London, England jana.
David Beckham (wa pili kushoto) akiendesha boti ya kasi iliyopewa jina la 'Max Power' ambayo imebeba Mwenge wa Olimpiki ulioshikwa na mbebaji wakipita chini ya daraja maarufu Uingereza la Tower Bridge mjini London, England jana.
Mambo ya kurusha fataki... ilikuwa baab'kubwa
Yaani hii picha inakufanya ujione kama nawe umo ndani ya uwanja kisha unayacheki mafataki yanavyorushwa kwa juu
Muigizaji Muingereza Rowan Atkinson akiigiza nafasi yake iliyompa umarufu mkubwa duniani ya "Mr Bean" wakati wa sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya London 2012 kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini London, England jana usiku Julai 27, 2012.
Watumbuizaji wakiigiza maisha ya zama hizo za uhunzi... hapa wakifua chuma cha moja ya ringi za nembo ya Olimpiki
Kwa ndani kulikuwa kukionekana
Ilikuwa ni raha tu...
Yalitengenezwa mazingira fulani ya maisha ya zamani kabisa ya Waingereza..
Ungeweza kudhani labda ni kijiji fulani. Kumbe ilikuwa ndani ya Uwanja wa Olimpiki...
Kulikuwa na wanyama pia... yote ni katika kukupa picha ya maisha ya zamani ya Waingereza yalivyokuwa...
Watumbuizaji wakicheza kriket katika "kijiji" kilichowekwa ndani ya uwanja wa Olimpiki wakati wa sherehe za ufunguzi wa michezo ya Olimpiki ya London jana usiku.
Hivi ndivyo kulivyoonekana kwa ndani
Watumbuizaji waliovalia kama manesi wakiwasili kwa ajili ya kushiriki sherehe za ufunguzi wa michuano ya Olimpiki
Kondoo pia walikuwepo...
Mashabiki nao hawakupitwa
Ni mwendo wa fataki tu kwa hewa...
Ni kurusha fataki kwa kwenda mbele...
Wacha wee... ilikuwa ni noma aithee.
Wabeba bendera ya Olimpiki ambao ni pamoja na bondia gwiji Mohammed Ali (aliyekaa)
Usain Bolt akipita na bendera ya Jamaica wakati wa gwaride la utambulisho wa mataifa shiriki
Washiriki wa Michezo ya Olimpiki wa Australia wakituma ujumbe wapendwa wao majumbani kwao wakati wa gwaride la utambulisho la mataifa shiriki
Kikundi wa watu VIP akiwemo Doreen Lawrence, Ban Ki-moon, Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa na mwanariadha veterani wa Ethiopia, Haile Gebrselassie wakibeba bendera ya Olimpiki wakati wa uzinduzi jana.

2012 Olympic Games - Opening Ceremony
Muigizaji Muingereza Rowan Atkinson akiigiza nafasi yake iliyompa umarufu mkubwa duniani ya "Mr Bean" wakati wa sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya London 2012 kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini London, England jana usiku Julai 27, 2012.






No comments:

Post a Comment